Jana baada ya kikao cha maandalizi ya mchezo kati ya Simbda dhidi ya Al Ahly, Mtendaji Mkuu, Barbara Gonzalez na Mkuu wa Msafara na Mjumbe wa Bodi ya Al Ahly, Mohamed El Damaty walishiriki katika tukio la makabidhiano ya zawadi kama sehemu ya kudumisha urafiki wa klabu hizi kubwa barani Afrika.
Al Ahly ni timu kongwe iliyofanikiwa zaidi barani Afrika, Simba itanufaika zaidi
Hata hivyo leo majira ya saa 10, watatusamehe tuna jambo letu, lazima watuchie alama zote tatu!


ADVERTISE HERE