Manara atuma salamu za rambirambi kwa Nadir Haroub

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
22 Feb 2018
Manara atuma salamu za rambirambi kwa Nadir Haroub
Mkuu wa Idara wa Habari na Mawasiliano Haji Manara, kwa niaba ya klabu ya Simba ametuma salamu za pole kwa nahodha wa Yanga Nadir Haroub 'Cannavaro' aliyefiwa na mwanawe leo.

Nadir amefiwa na mwanawe Anwar Haroub Ally aliyekuwa amelazwa Hospitali ya Muhimbili akitibiwa maradhi ya upungufu wa damu.

"Pole sana Nahodha wa Yanga Nadir Haroub Canavaro kwa kufiwa na Mtoto wako mwenye umri wa miezi miwili Anwar," ameandika Manara kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram.

"Mimi binafsi,viongozi, wachezaji,benchi la ufundi,Wanachama na mashabiki wa Simba tunaungana na wewe katika kipindi hiki kigumu kwako na kwa familia nzima. Poleni pia wanayanga wote."

Nasi kama Watanzania, na Wanafamilia wa soka nchini, tunampa pole Nadir kwa msiba mkubwa alioupata akiwa nje ya nchi.

Mwenye ez Mungu ampe moyo wa subira katika kipindi hiki kigumu
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’