Saa tano asubuhi ya leo Jumatatu, kutakuwa na Mkutano na Wanahabari kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa kati ya Simba dhidi ya Al Ahly utakaopigwa kesho Jumanne katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Ni mkutano maalum ambao utawapa nafasi makocha Didier Gomes na Pitso Mosimane kufunguka kuhusu maandalizi ya vikosi vyao kuelekea mchezo huo

ADVERTISE HERE