Changamkia tiketi, vituo viko wazi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
21 Feb 2021
Changamkia tiketi, vituo viko wazi

Kuelekea mchezo dhidi ya Al Ahly utakaopigwa keshokutwa Jumanne katika uwanja wa Benjamin Mkapa, mapema leo vituo vya mauzo ya tiketi vilifunguliwa

Wanasimba wameaswa kuchangamkia tiketi hizo mapema ili kupata ofa ya punguzo la bei ya viingilio ambayo itamalizika usiku wa kesho Jumatatu

Aidha zile tiketi za Platinum nazo zinapatikana kwa bei ya Tsh 150,000/-. Kwa maelezo zaidi piga namba hii +255 742 771 311 uweze kujipatia tiketi yako

Tiketi ya Platinum inakupa kila aina ya huduma nzuri ambayo unahitaji ukiwa uwanjani

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
7h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
13h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
16h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’