Dk Ndubaro kuwaongoza Wanamsimbazi mechi ya Al Ahly

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
20 Feb 2021
Dk Ndubaro kuwaongoza Wanamsimbazi mechi ya Al Ahly

Waziri wa Maliasili na Utalii Dk Damas Ndumbaro anatarajiwa kuwa mgeni rasmi mchezo wa ligi ya mabingwa kati ya Simba dhidi ya Al Ahly ambao utapigwa Jumanne, Februari 23 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Mchezo huo utakaoshuhudiwa 'mbashara' na mashabiki 30,000, utapigwa kuanzia saa kumi kamili Alasiri

Pamoja na majukumu yake ya Kiserikali, Dk Ndumaro ni Mwanasimba kwelikweli

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
38m ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
12h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
18h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’