Tiketi mechi ya Al Ahly zaanza kuuzwa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
20 Feb 2021
Tiketi mechi ya Al Ahly zaanza kuuzwa

Al Ahly tayari wako nchini kuelekea mchezo wa kibabe ligi ya mabingwa dhidi ya Machampioni wa Taifa hili klabu ya Simba

Ni takribani mashabiki 30,000 tu ndio wameruhusiwa kuingia dimba la Mkapa kuushuhudia mtanange huo ambao utapigwa siku ya Jumanne kuanzia saa kumi Alasiri

Mashabiki wameaswa kuchangamkia tiketi ambazo tayari zimeanza kuuzwa katika vituo mbalimbali

Bei za tiketi zitabadilika saa sita usiku wa Jumatatu kuamkia Jumanne siku ya mchezo

Hivyo ili kujipatia tiketi kwa bei punguzo, unapaswa kuchangamka sasa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
4h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
10h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
13h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’