Saa nane mchana wa leo Ijumaa, Februari 19 2021, uongozi wa klabu ya Simba utazungumza na Wanahabari katika mkutano utakaofanyika Serena Hotel
Ni kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Ahly utakaopigwa Jumanne, Februari 23 uwanja wa Benjamin Mkapa
ADVERTISE HERE