Ninawafahamu Al Masry - Lechantre

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
22 Feb 2018
Ninawafahamu Al Masry - Lechantre
Kocha Mkuu wa Simba Pierre Lechantre amesema anawafahamu vyema wapinzani wao Al Masry na tayari maandalizi ya kuwakabili yameanza.

Simba inachuana na Al Masry kwenye mchezo wa mzunguuko wa kwanza kombe la Shirikisho barani Afrika.

Mchezo wa kwanza utapigwa kwenye uwanja wa Taifa, March 06 na timu hizo zitarudiana nchini Misri March 16, 2018.

Lechantre raia wa Ufaransa amesema timu hiyo si ya kubeza, ngumu na inahitajika maandalizi ya kutosha.

"Hakuna kisichowezekana, tuna kikosi kizuri na tuna uwezo wa kuwatoa. Lakini haiwezi kuwa rahisi.

"Lazima tujiandae vizuri, tufanye kazi kwa uhakika na ninaamini tutafanya vizuri," amesema Lechantre.

Kikosi cha Simba kimerejea usiku wa kuamkia leo na kinatarajiwa kuanza mazoezi mara moja kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Mbao FC
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
9h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
15h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’