Mkude, Bwalya kurejea leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
19 Feb 2021
Mkude, Bwalya kurejea leo

Nyota wa Simba waliokuwa wamebaki DR Congo kutokana na mkanganyiko wa vipimo vya Corona, wanatarajiwa kuwasili nchini leo

Jonas Mkude, Larry Bwalya, Erasto Nyoni, Ibrahim Ame, Ally Salim na Meneja Abbas Ally walilazimika kufanyiwa upya vipimo vya corona baada majibu yao ya awali kuonyesha walikuwa na maambukizi licha ya kuwa siku waliyowasili DR Congo wote walipimwa lakini hawakukutwa na maambukizi

Nyota hao wameruhusiwa kuondoka DR Congo baada ya kubainika hawana maambukizi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1m ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’