Baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Biashara United, msafara wa kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania bara, Simba umeondoka wilayani Musoma kurejea mkoani Mwanza
Simba watalala Mwanza tayari kwa safari ya kurudi jijini Dar es salaam hapo kesho Ijumaa
Mabingwa hao wa nchi wanakabiliwa na mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Ahly utakaopigwa Jumanne, Februari 23 uwanja wa Benjamin Mkapa




ADVERTISE HERE