Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba Barbara Gonzalez 'Boss Lady'
Wanasimba wana kila sababu ya kujivunia kiongozi huyu, kwani ndani ya muda mfupi amefanya mambo makubwa yaliyoipa heshima Simba
Katika siku hii, tunamtakia kila la kheri, Mwenye es Mungu ampe maisha marefu
HAPPY BIRTHDAY BARBARA..!
ADVERTISE HERE