Kuingia Mwana Msimbazi tumia akaunti ya Google

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
18 Feb 2021
Kuingia Mwana Msimbazi tumia akaunti ya Google

Baadhi yetu tayari tumepata ujumbe wa kututaka tupakue toleo jipya la Mwana Msimbazi ambalo limeweka Play Store siku chache zilizopita

Kuanzia sasa ili uweze kushiriki mijadala utahitaji kujiunga na Mwana Msimbazi kwa kutumia akaunti yao ya Google ambayo unaitumia kule Play Store

Ni katika jitihada za kuwadhibiti Mamluki ambao wamekuwa wakitengeneza akaunti bandia kila akaunti zao zilipofungwa

Kwa utaratibu wa sasa kama akaunti yako itaripotiwa kwa kuanzisha mijadala na post zisizostahili humu basi itafungwa na hutakuwa na uwezo wa kutumia jukwaa hili tena

Tunawashukuru wote waliotoa maoni yao kuona maboresho hayo yanafanyika

Kulikuwa na changamoto kidogo katika kuunganisha akaunti lakini sasa imemalizwa na unaweza kujiunga na Mwana Msimbazi kwa kutumia akaunti yako ya Google

Ni lazima uingie upya kwa utaratibu huu ili kuweza kushiriki mijadala

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’