Mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba waliwasili Musoma mapema leo tayari kwa mchezo wao wa ligi kuu dhidi ya Biashara United ambao utapigwa uwanja wa Karume, hapo Musoma
Simba imefanya mazoezi yake ya mwisho katika uwanja huo ambao utatumika kesho
'Pitch' ya uwanja wa Karume sio rafiki sana lakini hakuna shaka, machampioni wa taifa watagawa dozi hapa hapa

Β
ADVERTISE HERE