CAF yairahisishia kazi Namungo kombe la Shirikisho

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 Feb 2021
CAF yairahisishia kazi Namungo kombe la Shirikisho

Shirikisho la soka Barani Afrika (CAF) limeagiza kuwa michezo yote miwili ya kuwania tiketi ya kufuzu hatua ya makundi ya michuano ya kombe la Shirikisho kati ya CD de Agosto ya Angola dhidi ya Namungo,  itapigwa nchini Tanzania

CAF imeagiza michezo hiyo kupigwa kabla ya Februari 26 2021

CAF iliufuta mchezo wa kwanza baina ya timu hizo uliopaswa kupigwa Februari 14 nchini Angola kutokana na kadhia ambazo kikosi cha Namungo Fc kilipata kutoka kwa mamlaka za Serikali ya Angola juu ya changamoto ya corona

Mpaka sasa wachezaji watatu wa Namungo Fc na CEO wao bado wako Angola baada ya vipimo vyao kuonyesha kuwa na maambukizo ya virusi vya corona

Timu nzima ya Namungo iliwekwa kizuizini mamlaka zikitaka msafara wote uwekwe karantini kwa siku tatu

CAF ikaufuta mchezo huo na kuagiza wachezaji na viongozi wa Namungo Fc ambao hawakukutwa na maambukizi ya corona waruhusiwe kurejea nchini

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
23h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’