Manara afunguka nyota waliobaki DR Congo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 Feb 2021
Manara afunguka nyota waliobaki DR Congo

Wakati kikosi cha Simba kikiwa njiani kuelekea mkoani Mara kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Biashara United utakaopigwa kesho Alhamisi katika uwanja wa Karume, baadhi ya wachezaji wamezuiliwa DR Congo kutokana na mkanganyiko wa vipimo vya coroma

Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Haji Manara amesema wapo wachezaji na kiongozi mmoja ulitokea mkanganyiko wa vipimo vyao vya corona hivyo kulazimika kufanyiwa upya vipimo

Wachezaji hao ni Ally Salim, Kennedy Juma, Ibrahim Ame, Larry Bwalya, Jonas Mkude na Meneja Abbas Ally

Wachezaji hao wanasubiri majibu ya vipimo walivyofanyiwa tena kabla ya kuianza safari ya kurejea nchini

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’