Kikosi cha Simba kimeondoka jijini Dar es salaam jioni ya leo Jumanne kuelekea mkoani Mwanza na kisha kuunganisha mkoani Mara kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Biashara United
Msafara wa mabingwa hao wa nchi utalala jijini Mwanza, kesho wataelekea Musoma



ADVERTISE HERE