Mchezo wa raundi ya kwanza kombe la Shirikisho kati ya Simba dhidi Al Masry utapigwa March 06, 2018 kwenye uwanja wa Taifa.
Tayari CAF imetoa ratiba ya michezo ya raundi ya kwanza ambapo Simba inaanzia nyumbani.
Mchezo wa marudiano utapigwa March 16, 2018 huko nchini Misri.
Kikosi cha Simba lazima kifanye maandalizi imara ili kuhakikisha kinaondoka na ushindi mnono kwenye mchezo wa kwanza.
Waarabu wamekuwa na kawaida ya kufanya 'fitna' nyingi wanapocheza nyumbani hivyo ni muhimu kuhakikisha wanachapwa mabao mengi uwanja wa Taifa.

ADVERTISE HERE