Hatupaswi kudharau mechi safari bado - Mo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
14 Feb 2021
Hatupaswi kudharau mechi safari bado - Mo

Baada ya timu kurejea kutoka DR Congo, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' amewaagiza wachezaji wa Simba kuhakikisha hawadharau mchezo wowote unaokuja mbele yao wakianza na mechi za ligi kuu

Mo amesema msimu wameweka malengo makubwa kwa ajili ya timu hivyo wanapaswa kuhakikisha wanayakamilisha

"Nawaomba sana wachezaji wa Simba kutokudharau mechi zijayo, tuwe makini zaidi kwenye Ligi ya VPL na Champions League. Bado safari ni ndefu. Sisi viongozi tuna malengo makubwa. Mungu atutangulia," ameandika Mo kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii

Wiki ijayo Simba itacheza mechi mbili muhimu wakianza na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Biashara United utakaopigwa Alhamisi ijayo mkoani Mara kisha kurejea jijini Dar es salaam kuikabili Al Ahly mchezo wa pili wa ligi ya mabingwa hatua ya makundi

Mchezo dhidi ya Al Ahly utapigwa Februari 23

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
13h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’