Machampioni wa Taifa hili Simba wameondoka nchini Ethiopia kurejea nyumbani Tanzania wakitokea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ambako waliisambaratisha AS Vita kwa kuichapa bao 1-0
Simba inatarajiwa kuwasili uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere majira ya mchana









ADVERTISE HERE