Mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba wameondoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kurejea Tanzania baada ya kukamilisha mchezo dhidi ya AS Vita
Simba inarejea Tanzania ikiwa na alama tatu kibindoni kufuatia ushindi wa bao 1-0 dhidi ya AS Vita
Mabingwa hao wa nchi wanatarajiwa kulala nchini Ethiopia na kesho kuunganisha na ndege nyingine kuja Tanzania




ADVERTISE HERE