Simba kutua Dar Jumapili mchana

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
13 Feb 2021
Simba kutua Dar Jumapili mchana

Baada ya kumaliza kazi iliyowapeleka DR Congo wakiondoka na alama zote tatu kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya AS Vita, kikosi cha Simba kinaondoka nchini humo mchana wa leo kurejea Tanzania

Simba inapitia nchini Ethiopia na Wawakilishi hao wa nchi wanatarajiwa kutua jijini Dar es salaam siku ya Jumapili

"Kazi iliyotuleta DR Congo ya kuhakikisha tunawapa kichapo AS Vita Club tumeikamilisha na leo mchana tutaanza safari kurudi nyumbani Tanzania kwa kupitia Ethiopia. Kesho Jumapili saa sita mchana tutatua kwenye ardhi ya nchi iliyobarikiwa Dar es Salaam, Tanzania," imesema taarifa ya Simba

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
2m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’