Kituo cha televisheni cha ZBC 2 kimethibitisha kuwa kitaonyesha mbashara mchezo wa ligi ya mabingwa kati ya AS Vita dhidi ya Simba unaopigwa huko nchini Congo (DR)
Mchezo huo utapigwa kuanzia saa nne usiku kwa saa za Tanzania
Kila la heri mabingwa wa nchi kuelekea mchezo huo wa kwanza hatua ya makundi msimu huu
ADVERTISE HERE