Baada ya kumaliza kazi nchini Djibouti jana kwa ushindi wa bao 1-0, kikosi cha Simba kinatarajiwa kurejea jijini Dar es salaam leo.
Simba imefuzu kwenda raundi ya kwanza ya michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika kwa ushindi wa jumla wa mabao 5-0 dhidi ya gendarmerie.
Katika raundi ya kwanza Simba itachuana na El Masry ya nchini Misri, mchezo wa kwanza ukitarajiwa kupigwa jijini Dar es salaam wiki tatu zijazo.
Simba inarejea kwa usafiri wa ndege za kampuni ya KQ kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Mbao FC, mchezo utakaopigwa February 26

ADVERTISE HERE