Mwenyekiti wa Kamati ya usajili klabu ya Simba Zacharia Hans Poppe amesema Simba ina kikosi bora msimu huu lakini anashangazwa na ugumu wa kupata matokeo.
Kwa maoni yake binafsi, Hans-Poppe anadhani kuna tatizo katika upangaji wa kikosi cha Simba na amelitaka benchi la ufundi kufanyia kazi.
“Inawezekana katika upangaji wa kikosi kukawa kunatupiga chenga lakini kikosi kimekamilika, amesema Poppe
“Kama unakumbuka wakati ule alipoumia Mwanjale tulihaha sana. Lakini sasa kila upande umekamilika na mchezaji zaidi ya mmoja mwenye ubora wa juu.
“Hii pia inasaidia kuongeza ushindani ndani ya kikosi lakini lazima benchi la ufundi lifanye kazi nzuri kuhakikisha upana na ubora wa kikosi unakuwa na faida.
“Sisi hatutaki kuingilia kazi yao lakini vizuri tukapata matokeo ndiyo jambo tunalohitaji,†alisema Hans Poppe.

ADVERTISE HERE