AS Vita vs Simba kupigwa saa nne usiku

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
11 Feb 2021
AS Vita vs Simba kupigwa saa nne usiku

Klabu ya Simba imethibitisha kuwa mchezo wa kwanza wa ligi ya mabingwa hatua ya makundi dhidi ya AS Vita utapigwa kesho Ijumaa katika uwanja wa Stade de Martyrs kuanzia saa nne usiku

Wenyeji wa mchezo huo As Vita wamepanga mchezo upigwe kuanzia saa mbili usiku kwa saa za kwao ambapo huku Tanzania itakuwa saa nne usiku

Simba tayari wako ndani ya jiji la Kinshasa, DR Congo tangu jana ambapo walifanya mazoezi yao ya kwanza Stade de Martyrs uwanja unaochukua mashabiki takribani 80,000

Hata hivyo kutokana na changamoto ya corona, mashabiki wachache sana wataruhusiwa kuushuhudia mtanange huo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
19h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’