Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba kimewasili salama Kinshasa DR Congo kuelekea mchezo wao wa ligi ya mabingwa dhidi ya AS Vita
Mchezo huo utapigwa keshokutwa Ijumaa kuanzia saa tatu kamili usiku kwa saa za Tanzania



ADVERTISE HERE