Mabingwa kutua Congo leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
10 Feb 2021
Mabingwa kutua Congo leo

Msafara wa kikosi cha Simba uliwasili nchini Ethiopia jana ambapo wamelala nchini humo na leo wanatarajiwa kuendelea na safari kuelekea DR Congo

Simba itatua jijini Kinshasa baadae leo tayari kwa mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya AS Vita ambao utapigwa keshokutwa Ijumaa

Katika kuhakikisha wanaepuka hujuma za aina yoyote, Simba inakwenda DR Congo ikiwa kamili. Kuna viongozi walitangulia kule Congo kuandaa maandalizi ya mapokezi

Soka la Afrika linafahamika kwa 'vitimbi' hasa linapokuja suala la michuano ya Kimataifa

Hujuma ni jambo la kawaida sana hasa kwa hizi mechi za ugenini. Kwa kulifahamu hilo, uongozi wa Simba umechukua tahadhari zote

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’