Kikosi cha Mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kimeondoka nchini kuelekea DR Congo kwa ajili ya mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya AS Vita utakaopigwa Ijumaa ya wiki hii
Simba Inakwenda Congo kupitia Ethiopia, msafara ukitarajiwa kulala nchini Ethiopia




ADVERTISE HERE