Droo ASFC : African Lyon vs Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
9 Feb 2021
Droo ASFC : African Lyon vs Simba

Mabingwa watetezi wa michuano ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC), Simba wamepangwa kucheza na African Lyon katika mchezo wa hatua ya 32 bora

Kulingana na droo ya michuano hiyo iliyofanyika leo, mchezo baina ya timu hizo utapigwa 27-28 Februari 2021

Aidha Machampioni hao wa Taifa hili, kama watavuka raundi ya 32, katika raundi ya 16 watacheza na mshindi kati ya Eagle Stars dhidi ya Kagera Sugar

Mechi za hatua ya 16 bora zitapigwa mwezi April 2021

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
3h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
21h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’