Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania bara, Simba leo Jumanne kinaondoka nchini kuelekea DR Congo ambako wanakabiliwa na mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi ligi ya mabingwa dhidi ya AS Vita utakaopigwa Ijumaa, Februari 13
Simba itaondoka nchini na wachezaji 27, nyota wawili tu nahodha John Bocco (majeruhi) na Perfect Chikwende ndio waliobaki
Hii hapa orodha kamili ya wachezaji wanaosafiri

ADVERTISE HERE