Matokeo ya uchaguzi wa Mwenyekiti wa klabu ya Simba uliofanyika leo Katika Mkutano Mkuu wa Wananchama, yameweka hadharani ambapo Murtaza Mangungu amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Mabingwa hao wa nchi
Mangungu amepata kura 802 (70.35%) akimshinda Juma Nkamia aliyepata kura 330 (28.95%). Jumla ya kura zilizopigwa ni 1140 na kura 8 (0.7%) zimeharibika
Wanachama wa klabu ya Simba, kwa sauti moja wameridhia Mangungu achukue mikoba iliyoachwa na Swedi Mkwabi
Hongera Mangungu, Mwenyekiti mpya wa Simba
ADVERTISE HERE