Fatema Dewji kuipaisha Simba Queens

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
7 Feb 2021
Fatema Dewji kuipaisha Simba Queens

Mtendaji Mkuu wa Simba Barbara Gonzalez amemtangaza Fatema Dewji kuwa Mlezi wa Simba Queens

Akitangaza uteuzi huo katika Mkutano Mkuu wa Wanachama wa klabu ya Simba, Barbara amesema Fatema ni Mwanasimba kindakindaki na ana uzoefu mkubwa kwenye masuala ya masoko

Fatema ameahidi kufanya kazi kuifanya Simba Queens iendelee kupata mafanikio ndani na nje ya nchi

"Naahidi kufanya kazi nzuri na kubwa pamoja na Wasichana hawa mahodari na Utawala wake, Bodi, wanachama na mashabiki wa Simba kuhakikisha kwa pamoja kuwa tunabakiza kombe la Ligi Kuu ya Wanawake kwa Simba Queens na pia tunafuzu kuingia kwenye Champions League.⁣"

"Kutokana na utaalamu wangu wa kuwa na ubobezi katika masuala ya masoko, nitahakikisha kuwa vipaji na uwezo walio nao Simba Queens unatambulika hapa Tanzania na nje na uwe na uzito kufanana na timu ya Simba "

"Pia naahidi kuweka nguvu katika kutafuta na kukuza njia za upatikanaji wa rasilimali ili kuiboresha Timu pamoja na wasichana hawa," alisema

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
4h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
8h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
14h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’