Mkutano Mkuu wa mwaka wa Wanachama wa klabu ya Simba unaendelea ambapo katika Mkutano huo, uchaguzi wa kumpata Mwenyekiti wa klabu utafanyika
Mkutano huo ulifunguliwa na Kaimu Mwenyekiti anayemaliza muda wake Mwina Kaduguda ukifanyika katika Ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam
Kabla ya Wanachama kuingia ukumbini, kulikuwa na zoezi la kuhakiki taarifa



ADVERTISE HERE