Aussems aibukia AFC Leopards

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
7 Feb 2021
Aussems aibukia AFC Leopards

Kocha wa zamani wa Simba Patrick Aussems yuko mbioni kujiunga na AFC Leopards inayoshiriki ligi kuu ya Kenya 'KPL'

Hii ni timu ya pili Aussems anajiunga tangu alipoondoka Simba mwishoni mwa mwaka 2019

Mwaka jana alijiunga na Black Leopards na Afrika Kusini lakini akatimuliwa na timu hiyo baada ya miezi mitatu kutokana na mfululizo wa matokeo mabaya

Aussems anajivunia mafanikio aliyopata na klabu ya Simba pengine ndio sababu CV yake imekuwa ikizivutia timu nyingi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
2m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’