Bodi ya Ligi imetangaza mabadiliko ya muda wa mchezo wa ligi kuu ya Vodacom kati ya Simba dhidi ya Azam Fc ambao utapigwa kesho Jumapili katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Mchezo huo ambao awali ulipangwa kupigwa saa moja jioni, sasa utapigwa saa kumi Alasiri katika uwanja huo
Taarifa iliyotolewa na Bodi ya Ligi mapema leo, imebainisha kuwa Mabadiliko hayo yametokana na uwepo wa changamoto za kiufundi katika upande wa miundombinu (taa)

ADVERTISE HERE