Azam Fc hawajawahi kuwa salama mbele ya Kagere

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
6 Feb 2021
Azam Fc hawajawahi kuwa salama mbele ya Kagere

Rafiki wa nyavu, adui wa magolikipa, anaitwa Meddie Kagere 'MK14' mwamba amerejea katika ubora wake

Mfungaji bora wa VPL kwa misimu miwili mfululizo na anakitaka kiatu kwa msimu wa tatu

Ni suala la muda tu atakaa pale kileleni katika mbio za kuwania kiatu hicho kwani sasa amefikisha mabao nane sawa na nahodha John Bocco ambaye ni majeruhi

Enzi za kocha Sven Vandenbroeck, Kagere hakuwa na wakati mzuri sana pengine ni kwa sababu ya mivutano ya hapa na pale iliyokuwepo baina yake na Mbelgiji huyo

Lakini kwa ujio wa Didier Gomes, Kagere atafunga sana. Hii ni mara ya pili wawili hao wanafanya kazi pamoja

Azam Fc ndio kituo kinachofuata. Kagere ana rekodi nzuri ya kuwatungua Azam kila wanapokuja mbele yake

Bila shaka kesho ataweza kuendeleza utamaduni huo na pengine kujipambanua juu katika mbio za kuwania kiatu cha dhahabu

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
44m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’