Mabingwa wa nchi Simba wamemaliza jambo lao kule mkoani Dodoma wakikabidhiwa majukumu makubwa ya kuitangaza nchi Kimataifa
Wanarejea jijini Dar es salaam leo tayari kwa mchezo dhidi ya Azam Fc ambao utapigwa keshokutwa Jumapili, uwanja wa Benjamin Mkapa
Uongozi wa klabu ya Simba umetaja viingilio vya mchezo huo utakaopigwa kuanzia saa moja kamili usiku
VIP A ni Tsh 15,000/-, VIP B na C ni Tsh 10,000/- wakati Mzunguuko ni Tsh 5,000/-
Huu ni mchezo mwingine ambao mabingwa wanatarajia kuendelea kukusanya alama tatu kuelekea katika nafasi yao Wanayoimiliki..!
ADVERTISE HERE