Simba yapewa kazi na Serikali

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
5 Feb 2021
Simba yapewa kazi na Serikali

Maana halisi ya Mabingwa wa nchi ni hii baada uongozi wa klabu ya Simba kuingia makubaliano na Serikali kupitia Wizara wa Maliasili na Utalii kutumia neno VISIT TANZANIA katika jezi ambazo zitatumika kwenye hatua ya makundi michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika

Makubaliano hayo yamesainiwa leo mkoani Dodoma. Sasa Simba itakuwa na jukumu la kuitangaza Tanzania Kimataifa

Aidha kuhusu Sportpesa, hawa ndio wadhamini wakuu wa Simba lakini kwa michuano ya ligi ya mabingwa hatua ya makundi, CAF imezuia vilabu kutumia wadhamini ambao ni makampuni ya ubashiri wa michezo kwa kuwa CAF nao Mdhamini wao Mkuu ni kampuni ya aina hiyo

Hivyo Simba imeitumia nafasi hii kuwa fursa ya kuitangaza nchi Kimataifa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
2m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’