Safari ya DR Congo ni Jumatano ijayo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
5 Feb 2021
Safari ya DR Congo ni Jumatano ijayo

Ukiangalia ratiba ya Simba mwezi huu, utaona umuhimu wa kuwa na kikosi kipana kwani mabingwa hao wa nchi wanakabiliwa na michezo mfululizo

Jana wamecheza na Dodoma Jiji na baada ya mchezo dhidi ya Azam Fc ambao utapigwa keshokutwa Jumapili, mabingwa hao wa nchi watakuwa na mapumziko ya siku mbili kabla ya kuondoka nchini kuelekea DR Congo wanakokabiliwa na mchezo wa ligi ya mabingwa hatua ya makundi dhidi ya AS Vita

Mchezo huo utapigwa Februari 12 kule DR Congo

Kabla ya kucheza na Al Ahly Februari 23, ratiba ya ligi inaonyesha mchezo dhidi ya Yanga utapigwa Februari 20, 2021

Ni wiki mbili za 'kazi kazi' kwa kikos cha Simba ambacho hesabu zake ni kutetea ubingwa wa ligi kuu na kuvuka robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’