Masaa machache yamesalia kuelekea mchezo wa ligi kuu kati ya Dodoma Jiji dhidi ya Simba, mashabiki tayari wameujaza uwanja wa Jamhuri
Mchezo unaanza saa kumi kamili lakini wingi wa mashabiki mapema hivi ni ishara kuwa Wanamsimbazi wameisubiri kwa hamu timu yao hapo Makao Makuu ya nchi



ADVERTISE HERE