Chikwende kukaribishwa VPL leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 Feb 2021
Chikwende kukaribishwa VPL leo

Kiungo mshambuliaji Perfect Chikwende leo anaweza kuwa sehemu ya kikosi kitakachoikabili Dodoma Jiji katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom utakaopigwa kuanzia saa kumi jioni

Chikwende alisajiliwa na Simba katika usajili wa dirisha dogo na jina lake kujumuishwa katika kikosi cha VPL

Nyota huyo ni sehemu ya wachezaji ambao wako mkoani Dodoma tayari kwa mchezo huo

Yeye pamoja na Mganda Taddeo Lwanga wamejumuishwa katika kikosi hicho cha Simba

Ni mchezo ambao kocha Didier Gomes atakuwa na silaha zake zote ni yeye kuamua nani amuanzisha katika mtanange huo ambao Simba inahitaji kuondoka na alama zote tatu

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
3h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
21h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’