Mabingwa wa nchi Simba leo waliibua shangwe ndani ya ukumbi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakipata mwaliko rasmi kutoka kwa watunga sheria hao wa nchi
Lilikuwa tukio la aina yake lililowapa fursa wabunge kupata kumbukumbu muhimu ya kupiga picha na wachezaji na viongozi wa Simba
Simba iliwasili mkoani Dodoma mapema leo wakitua mkoani humo kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Dodoma Jiji
Mchezo huo utapigwa kesho Alhamisi katika dimba la Jamhuri
ADVERTISE HERE