Msafara wa mabingwa wa nchi, Simba Sc tayari umewasili mkoani Dodoma kuelekea mchezo wao wa ligi kuu dhidi ya Dodoma Jiji
Mchezo huo wa kiporo, utaunguruma kesho Alhamisi kunako dimba la Jamhuri hapo hapo Makao Makuu ya Nchi




ADVERTISE HERE