Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kimeondoka mapema leo jijini Dar es salaam kwa usafiri wa Ndege kuelekea mkoani Dodoma ambapo kesho Alhamisi watakuwa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Dodoma Jiji
Mchezo huo utapigwa kwenye uwanja wa Jamhuri kuanzia saa kumi kamili jioni
jana jioni, mabingwa hao wa nchi walikamilisha maandalizi yao ya mwisho wakiwa na kikosi chao kamili ambacho kimewajumuisha wachezaji waliokuwa na majukumu ya timu ya Taifa kule Cameroon




ADVERTISE HERE