Mlinda lango namba moja Tanzania Aishi Manula ameanza katika kikosi cha Simba kinachoikabili Gendarmerie nchini Djibouti.
Hapo jana Manula alidaiwa kuumia katika mazoezi lakini imekuwa vyema kwa mlinda lango huyo kuweza kulinda lango leo.
Kikosi cha Simba
Hapo jana Manula alidaiwa kuumia katika mazoezi lakini imekuwa vyema kwa mlinda lango huyo kuweza kulinda lango leo.
Kikosi cha Simba
ADVERTISE HERE