Dodoma Jiji yataja viingilio mchezo dhidi ya Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
2 Feb 2021
Dodoma Jiji yataja viingilio mchezo dhidi ya Simba

TAARIFA MCHEZO WA DODOMA JIJI Vs SIMBA

Kumekuwa na taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zinazosema kuwa mchezo wa Ligi Kuu kati ya Dodoma Jiji FC dhidi ya Simba SC utachezwa katika uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro.

Taarifa hizo sio za kweli hata kidogo. Kupitia taarifa hii, napenda kuwajulisha wanachama, wapenzi, mashabiki na wapenda michezo kwa ujumla kuwa mchezo huo utafanyika katika uwanja wa JAMHURI JIJINI DODOMA siku ya Alhamisi tarehe 04-02-2021 Saa 10:00 Jioni

Viingilio katika mchezo huo ni kama ifuatavyo;

VVIP 25,000/=
VIP A 15,000/=
VIP B 10,000/=
Mzunguko 5,000/=

Imetolewa na;
Idara ya habari na uhusiano,
Dodoma Jiji FC.
02.02.2021.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’