Makombe hapa Simba ni nyumbani

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
1 Feb 2021
Makombe hapa Simba ni nyumbani

Wapo waliokerwaaa baada ya Simba kushinda taji la michuano ya Simba Super Cup hapo jana wakiibuka vinara mbele ya vigogo wenzao wa soka barani Afrika vilabu vya TP Mazembe na Al Hilal

Ilikuwa michuano ya 'kutest mitambo' kuelekea Ligi ya Mabingwa hatua ya makundi inayoanza mwezi ujao. Hili ni taji la kwanza kwa kocha Didier Gomes, maalum kwa ajili ya kumkaribisha

Tangu mwaka 2017 Simba inakusanya mataji tu, wakati kuna timu taji lao la kwanza baada ya miaka minne walishinda kwenye bonanza kule Zanzibar

Mwendo huu utaendelea msimu huu....!

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
3h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
21h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’