Simba itamkosa nahodha wake Jonh Bocco kwenye mchezo dhidi ya Gendarmerie kutokana na majeruhi.
Bocco aliumia wakati wa mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Mwadui alikwenda safari hiyo.
Naye mlinda lango namba moja Aishi Manula aliumia katika mazoezi ya jana jioni lakini benchi la ufundi limethibitisha atakuwa tayari kucheza mchezo huo
Simba leo itacheza mechi yake ya marudiano ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Gendarmarie ya Djibouti kwenye Uwanja wa State de Vile wenye uwezo wa kuingia mashabiki 40,000.

ADVERTISE HERE