Wachezaji Simba wabeba tuzo Simba Super Cup

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
31 Jan 2021
Wachezaji Simba wabeba tuzo Simba Super Cup

Simba wameibuka kuwa mabingwa wa Simba Super Cup baada ya kujikusanyia alama nne katika michuano hiyo iliyozikutanisha Simba, TP Mazembe na Al Hilal

Aidha, kiungo Larry Bwalya amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa michuano ya Simba Super Cup iliyofikia tamati leo kwa Simba kuibuka mabingwa

Bwalya ameondoka na kitita cha Tsh Milioni 2 baada ya kushinda tuzo hiyo

Tuzo ya mfungaji bora imekwenda kwa Mghana Barnard Morrison aliyefunga mabao mawili dhidi ya Al Hilal

Aidha Beno Kakolanya ameibuka kuwa mlinda lango bora baada ya kuruhusu bao moja tu katika michuano hiyo

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
22m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
3h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
21h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’