Mzee wa kuwakera ana jambo lake kwa Mkapa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
31 Jan 2021
Mzee wa kuwakera ana jambo lake kwa Mkapa

Saa kumi jioni pale uwanja wa Benjamin Mkapa, Simba itakuwa ikichuana na TP Mazembe katika mchezo wa kuhitimisha michuano ya Simba Super Cup

Ni mchezo unaovuta hisia za mashabiki wa soka nchini kutokana na ukubwa wake

Lakini muhimu zaidi, kwa mashabiki wa Simba wanatarajia kuona mwendelezo wa burudani walioishuhudia kwenye mchezo dhidi ya Al Hilal ambao Simba ilishinda kwa mabao 4-1

Kiungo Rally Bwalya na winga Bernard Morrison 'Mzee wa kuwakeraaa' ndio waliokuwa habari ya mjini katika mchezo huo

Wakati Bwalya akiibuka nyota wa mchezo na kuondoka na kitita cha Tsh Laki Tano, Morrison alichangia mabao matatu kati ya manne yaliyofungwa

Akiwa ameingia kwenye kipindi cha pili, Morrison alifunga mabao mawili na kusababisha bao jingine lililofungwa na Perfect Chikwende nyota aliyesajiliwa katika usajili wa dirisha dogo

Morrison anatarajiwa kuwemo katika kikosi kinachoanza, kocha Didier Gomes akimsifu kwa kuwa na mchezo mzuri dhidi ya Al Hilal

Mwamba huyu amerejea akiwa na nguvu mpya baada ya tetesi nyingi wakati wa dirisha dogo na huku pia ikielezwa kuugua Hernia

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’